Matthew 21:16

16 aWakamuuliza Isa, “Je, unasikia hayo hawa wanayosema?”

Akawajibu, “Naam; kwani hamkusoma, “ ‘Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao
umeamuru sifa’?”

Copyright information for SwhKC